Pamoja na kujengwa , daraja hili lina jumla ya njia sita, njia tatu kwa kila upande, pamoja na njia maalumu kwa ajili ya waenda kwa miguu na waendesha baiskeli ambayo ina upana wa mita 2 na nusu (2.5 meters) katika kila pande likiwa na uwezo wa kupitisha magari yenye uzito usiozidi tani 30.