mazoezi kwa ajili ya kufanya uke uwe tight(mnato)
wanawake wengi husumbuliwa na tatizo ala uke kuwa mkubwa, wengi huumizwa na tatizo hili na wakati mwingine kupelekea mahusianao yao na wapenzi wao kuharibika, leo nitawaelezea njia rahisi ya kuepukana na tatizo hili kwa kutumia njia hizi squat zoezi hili hukaza tumbo na misuli ya uke zoezi la kunyanyua miguu zoezi la kuinua kiuno juu zoezi hili hukaza kiuno na misuli ya uke mazoezi ya yoga zoezi la kujaribu kutapika ukiwa unapiga mswaki asubui jaribu kufanya kama unaupeleka karibu na koremeo ukifanya hivyo utajisikia kama unataka kuyapika au unaweza kujiingizia vidole mdomoni. hii husaidia kukaza misuli kwa wanaume na wanawake zoezi la kufanya kama unataka kutapika hukaza misuli ya uke mazoezi ya kukaza tumbo Kuinua visigino zoezi lingine kwa wale.wanaovaa viatu vyenye visigino, sio lazima viwe virefu sana. unapokuwa umesimama jaribu kuinua kidogo.visigino vyako ...