Posts

Showing posts from May 24, 2016

Bodaboda achanganyikiwa kwa kukatiwa viuno na dem

Image

RATIBA: Yanga itacheza dhidi ya TP Mazembe ya Congo.

Image
CAF leo limepanga ratiba ya Kombe la Shirikisho na Yanga itacheza dhidi ya TP Mazembe ya Congo. Yanga imepangwa kundi A na timu za Mazembe, Madeama ya Ghana pamoja na Mo Bejeia ya Algeria. SC@EATV

Baraka Da Prince & Ben Pol Ft. Mr Blue - Mwambie ..Lyrics/mistari

Image
 [Verse 1 – Barakah Da Prince] Ningelianza mi nisingeliwaza ah ah Ah, niliwekeza mapenzi yangu Moyo wangu, kwake kabisa nikafungua Kuwekeza maisha yangu Ishara yangu ilikuwa ni upendo Mi sikudhani maumivu yangu Jeraha langu, tena kama lingejirudia Maake nilimukabithi mali Nikamupa upendo wote Nilichekwa mpaka na marafiki Kwa kutendwa ila sikuambilika Ningemuweza wapi mimi mwenye dhiki Kwa uzuri alokuwa nao? Mwenye ladha kipenzi mi sikuambilika Kwa kujua ni yawalimwengu Mwisho kwake yeye mi sikuthamani Mi wa kazi gani akanambia [Chorus – Barakah Da Prince] Nenda mwambie… Maumivu alonipa kumpenda sitochoka Ameweka historia Nikifa asilie Maana chanzo cha maumivu ya kunikondesha Mwambie ni yeye [Verse 2 – Ben Pol] Hata majirani wana… kosa neno la kusema Juu yako wewe, mrembo wewe Hata na wazazi wana… uliza hii ni nini tena? Kumbe nawe ndo wale wale Mbona hukusema mapema? Kama kwako sina maana Ningejitaftia mwingine Kama ulivyo na mwingine Mb...

G Nako ft Nikki Wa Pili & Chin Bees - Arosto ..Lyrics/mistari

Image
[Hook 1 – G Nako] Gari umeniwasha, eh Na hii arosto yangu, nani aniponye? Gari umeniwasha, eh Na hii arosto yangu, nani aniponye? Gari umeniwasha, gari umeniwasha Gari umeniwasha eh Gari umeniwasha, gari umeniwasha Gari umeniwasha eh [Hook 2 – Chin Bees] Uu uh arosto, usiniache na arosto Baby baby uh uh Arosto, usiniache na arosto Baby baby uh uh Arosto, usiniache na arosto Baby baby uh uh Arosto, usiniache na arosto [Verse 1 – G Nako] Nikaanza peleka round kwanza Nikamuendea kumuombea tenga mamaa Nkamvuta chemba, tema cheche kadhaa Kumuomba denda akaniambia “tamaa Mbona less, hata kujuana jamaa” Nikaenda less sikushtuka kwamba Labda huyu sio demu wa majina na material Ni ngumu kumpa vina aingie interior Mi huwaga OG, hujasikia “Original”? Nataka nikumiliki sitaki kiki no! [Pre-Hook – Chin Bees] Ou ou uh Nakusakanya kila kona sikuoni Napaperemba, uko wapi mamii? Nakusakanya kila kona sikuoni [Hook 1 – G Nako] Gari umeniwasha, eh Na hii ar...