Posts

Showing posts from June 9, 2016

Kala Jeremiah=Ukipenda pesa zake usitarajie ndoa

Image
                                  Kala Jeremiah amesema kwa mwanamke ambaye anampenda mwanaume au mpenzi wake kwa kigezo cha pesa ategemee kutumika tu kingono ila hawezi kuolewa na huyo mtu kwani hata yeye atakuwa anatambua wazi kuwa anapendwa kwa sababu ya pesa zake. "Kama unampenda mpenzi wako kwa ajili ya pesa zake basi usitarajie ndoa hapo. hapo ni ngono mwanzo mwisho. Maana na yeye anajua humpendi unapenda pesa. Hivyo na yeye hakupendi anapenda gemu tu" aliandika Kala Jeremiah @source EATV

Tiwa Savage kujiunga na ROC NATION ya Jay z

Image
                       Good News ,Tangu tumeuanza mwezi wa tano Mwaka huu kumekuwa na tetesi msanii kutoka afrika kusajiliwa chi ni ya lebo ya Msanii Maarufu dunia Jay Z Na taarifa zikufikie kwamba Tiwa savage msanii kutoka Nigeria amekuwa msanii wa kwanza kutoka Afrika kusajiliwa chini ya lebo kubwa duniani ya ROC NATION ambayo inamilikiwa na Rapa Jay z ambayo inasimamia kazi za Rihanna a .k.a Bad girl. Ifahamike kwamba kuingia Roc nation si kwamba Tiwa savage ameondoka kwenye lebo ya Marvin kikubwa Roc nation itahusika katika usambazaji wa kazi za tiwa savage.