Posts

Showing posts from June 24, 2016

Hii ndio tofauti kati ya Ronaldinho Gaucho na Jay Jay Okocha

Image
Ronaldinho gaucho vs Jay Jay okocha >>> kama Kuna kazi ngumu ni kusema Nani fundi Kati Yao kwa sababu Hawa watu wawil ni master skills duniani japo okocha hapewi heshima hiyo. Okocha >>> okocha ni mwalim wa Ronaldinho gaucho ukitaka kuamini hili angalia skills zao alafu mwangalie kila mmoja utagundua ninachokwambia. Kama Kuna wachezaji waliozaliwa na vipaji basi Jay Jay okocha ni kipaji haswaa kuanzia kufunga, skills, Dribbles, n. K Huyu alikuwa fundi.   >>> Ronaldinho Alipata muda mwingi wa kujifunza vitu adim kutoka kwa okocha kipindi wakiwa PSG na kipindi hicho dinho alikuwa anachoma mahindi benchi mbele ya mwafrika okocha. Hadi okocha alipouzwa kwenda Bolton England ndio dinho akaanza kupata namba PSG ya kudumu.   >> Kuna Swali watu wengi wanajiuliza kwa nini okocha hakupa mafanikio mengi akma dinho pamoja na ufundi wote huo Jibu ni kuwauliza Brazil mwaka 1996 chini ya kocha wao hatareeeeeee alieitwa zagar...