Posts

Showing posts from April 30, 2016

MDALASINI HUSAIDIA KUSAFISHA DAMU MWILINI

Image
Muarobaini unatibu maradhi mengi yakiwemo ya kwenye mfumo wa damu, lakini dawa mbadala nzuri zaidi kwa kutibu matatizo yanayotokana na damu ni magome ya mdalasini. Magome ya mdalasini huweza kutoa nafuu na kutibu magonjwa mbalimbali kama vile malaria, shinikizo la damu, kisukari, hedhi zenye maumivu na zisizokoma, mapele, ukurutu na mapunye ya mchafuko wa damu, maambukizi ya bakteria na maradhi mengine ambayo mgonjwa aendapo hospitalini hupimwa damu kabla ya tiba. JINSI YA KUANDAA MDALASINI Chukua gome moja la mdalasini weka kwenye sufuria kisha mimina maji kiasi cha glasi nane au lita moja na nusu hadi mbili, chemsha kwa dakika kumi hadi 15, kisha ipua na yaache yapoe (hata kwenye friji weka), halafu kunywa kila usikiapo kiu hadi utakapoyamaliza, iwe ndani ya mchana kutwa kwa muda wa siku tano hadi kumi. Mdalasini kitaalamu huitwa “sabuni ya kusafisha damu na njia zake”, huondoa maradhi yote yaliyojificha kwenye mishipa ya damu. Tahadhari: Mdalasini ni mmea kama ilivyo m

Snura - Chura Dance | Tanzania women Twerking (Official Video)

Image

Snura - Chura Dance | Tanzania women Twerking (Official Video)

Image