Posts

Showing posts from May 13, 2016

Mirror ft Barakah da Prince..naogopa lyrics /mashairi

Image
[Intro] [Mirror] Kama nyota na mwezi angani Kama nyota na mwezi angani [Barakah Da Prince] Mwenzenu naogopa kuumia Mwenzenu naogopa kuumia [Verse 1 – Mirror] Usinipe namba ka unajua utajakuniuma Kupenda sio shamba, natamani na moyo unaniuma Mi mwana masikini kipato kidogo (kidogo) Uje uniache mimi uende kwa vigogo (ah vigogo) [Pre-Chorus – Mirror] Hata kama sipo Pendo langu lipo Mvua na mafuriko Hapa mbele ya maandiko Milele mpaka kifo Kwamba mi ni wako Wako, uh [Chorus – Barakah Da Prince] Sijutii maamuzi yangu ila naogopa kuumia Ndipo ilipo furaha yangu baby naogopa kuumia Usije ponza hisia zangu mwenzio naogopa kuumia Mapenzi ndio furaha yangu mwenzenu naogopa kuumia [Verse 2 – Mirror] Kama nyota na mwezi angani, niwe karibu nawe Natamani hata kama ungenipenda mimi tu (mimi tu) Ila kwingine usitamani, my baby, tuwe mimi nawe Natamani hata kama ungenipenda mimi tu (mimi tu) [Pre-Chorus – Mirror] Hata kama sipo Pendo langu lipo Mvua na mafuriko Hapa mbele ya maandiko ...