Posts

Showing posts from May 11, 2016

KAZI YA SHANGA KIUNONI NA MAANA YA RANGI ZAKE........

Image
NINI KAZI YA 'SHANGA ZA KIUNONI' KITANDANI NA NINI MAANA YA RANGI ZAKE. ,naomba tuongelee rangi za shanga kwa wale wanaopenda kuvaa shanga. Najua wengi mtakuwa mnafahamu rangi na maana zake lakini kwa wale wasiojuwa amawanaopenda kuvaa lakini wanajinunulia rangi yeyote huu ndo wakati mwafaka. Wanaume wengi wanaopenda wanawakewao wavae shanga ili kusisimuana tu .Je mnafahamu zinamaanisha nini?. ...Karibu tujifunze pamoja. Katika swala la mahaba shanga hutumika kusisimuana haswa pale utakapompata mwanaume anayejuwa kuzitumia vizuri na unaweza kuvaa hata kumi ukitaka . Jana niliguswa sana na simulizi la rafiki yangu juu ya shanga, hivyo nikaona boraniandike na wengne wajue.Hii ni sehem ndgo ya simulizi lake. ".........Nilikutana na boyfiriend wangu maeneo ya Shycom …tukaelekea kwenye disko. Tulikuwa tunacheza madensi, halafublues, ya Boyz to Men ikaanza kupigwa. Wenye disko walipunguza taa. Mimi na boyfriend wangu tukakumbatiana na kuanza kuche

VIDEO: Moja ya Harusi bora AFRICA....hembu jionee HII VIDEO

Image
    

Tambua uzuri wa mwanamke..soma hapa

Image
  Diamond platnumz na Zary ..Kweye kumbu kumbu ya kihistoria BAGAMOYO Uzuri wa mwanamke kwa wanaume umegawanyika. Wanaume wengi hupima uzuri wa mwanamke kwa sura au umbo, lakini linapokuja swala la kuoa, suala la tabia na mwenendo hupewa nafasi kubwa. Na ndiyo maana wakati mwingine unaweza kushangaa kukuta mwanaume ambaye ni hodari wa kuchagua wanawake wazuri, lakini ukija kumuona mke aliyemuoa, utakuta ni mbaya kwa sura na umbo (kwa mtazamo wa wengine), lakini kwa upande mwingine utakuta mke huyo ni mzuri katika maeneo mengine kama vile, tabia nzuri,upendo, wema, na anayemudu malezi ya watoto katika familia. Sifa nyingine ni zile za kumkubali mwingine kirahisi, kuwa tayari kusaidia yanapojitokeza matatizo katika familia, mpenda amani na kumfanya mume wake aone kuwa hakukosea kumchagua yeye kuwa mke wake. Kwa kifupi wanawake wa aina hii hata kama wangekuwa ni wabaya kwa sura na umbo bado (kwa mtazamo wa wengi) wapo kwenye nafasi ya kuonekana kuwa ni wazuri, na huolewa kirahisi

Leo imetimia miaka 35 tangu kufariki kwa BOB MARLEY

Image
Leo imetimia miaka 35 tangu kufariki kwa nguli wa muziki wa reggae duniani, Bob Marley. Robert Nesta "Bob" Marley ( 6 Februari 1945 - 11 Mei 1981 ) alikuwa mwimbaji na mwanamuziki muhimu kutoka nchini Jamaika . Alivuma hasa kunako miaka ya 1970 na 1980. Ameweza kuifanya staili ya muziki wa reggae kuwa maarufu sana duniani. Muziki wake mwingi ulikuwa unazungumzia hadithi za nyumbani kwake na dini ya Rastafari ambayo yeye alikuwa anaifuata. Kuna baadhi ya nyimbo zake zinahusu masuala ya dini na zingine siasa. Bob Marley alizaliwa na mama mweusi kijana aliyeitwa Cedella Booker na baba wa Kizungu aliyeitwa Norvall Marley. Wakati yungali bwana mdogo, marafiki zake walimpa jina la utani kama "Tuff Gong". [1] Ameanza kazi zake za muziki kunako miaka ya 1960 hivi akiwa na kundi lake la kina Wailing Wailers, ambalo alilianzisha akiwa na marafiki wawili, Peter Tosh na Bunny Wailer . Mwaka wa 1962, Bob Marley na kina Wailing Wailers wakafanikiwa kurekodi ny