ATUMIA 33MILION KUONGEZA TITI LA TATU
ATUMIA 33MILION KUONGEZA TITI LA TATU Msichana wa umri wa miaka 21 anayejulikana kwa jina la Jasmine Tridevil( sio jina Halisi), mkazim wa kitongoji cha Tampa jijini Florida nchini marekani anayejishughulisha na kufanyia watu massage,amelipia dola 20,000 kwa ajili ya upasuwaji kuongeza titi la tatu ambazo ni sawa na shilingi za kitanzania 33.4. katika mahojiano na kituo cha redio nchini marekani, mwanadada huyo alisema ameamua kuongezea titi la tatu ili kupunguza mvuto kwa wanaume,kwani hataki kuwa na mpenzi. Jasmine amesambaza picha zake mpya akiwa katika vazi la bikini kupitia ukurasa wake wa Facebook baada ya upasuaji huo. Mrembo huyo amedai kuwa amekanwa na mama yake mzazi pamoja na dada yake. "Mama yangu alikimbia, hataki kuongea na mimi wala hataki dada yangu aongee na mimi baada ya kuongeza titi la tatu," Alisema Tridevil Mbali na furaha aliyonayo mrembo huyo, bado anadai titi lake la tatu halifanani na mengine. Tridevil analazimika pia kuji...