DAWA YA MAUMIVU MAKALI YA MAGOTI/ MATATIZO YA MIFUPA
MAUMIVU MAKALI YA MAGOTI/ MATATIZO YA MIFUPA ?(OSTEOPOROSIS) Huu ni ugonjwa ambao hutokea ambapo uimara wa mifupa unapopungua hivyo kuwa na asilimia uwezrkano mkubwa wa kuweza kupatampasuko au kuvunjika kwa urahisi na mara nyingi ugonjwa huu huambatana na maumivu makali ya mifupa. Ugonjwa huu unaweza kutokea iwapo kutakuwa na mabadiliko ya hormoni,upungufu wa madini kama calicium au vitamin D. Mifupa ina madini ambayo hutumika mwilini na kurejeshwa ili kuufanya mfupa uweimara na kuujenga, endapo yatatumika zaidi kuliko kurejeshwa katika mifupa,mifupa hudhoofu na hukosa uimara na hupunguza uzito.(normal peak bone mass is greater than normal bone loss) Uzito wa mfupa kwa kawaida kwa mtu kijana huwa ni 2.5 standard deviations uzito chini ya huo mtu anaweza kupata (Osteoporosis) tatizo la mifupa. Utajua uzito huo kwa vipimo maalumu yani kwa dual energy X-ray absorptiometry. Mara nyingi tatizo hili la mifupa hutokea katika uti wa mgongo (huweza kusababisha mgongo kup...