Posts

Showing posts from June 23, 2017

Mohamed Salah akamilisha usajili LIVERPOOLFC

Image
Mchezaji wa Club ya ROMA na timu ya Taifa ya  Egypt  -ameamua kujiunga na Majongoo wa ENGLAND ,liverpoolfc maada ya mvutano uliokuwepo kati ya LFC na ROMA juu ya dau la mchezaji huyo uliisha na makubaliano yakakamilika, Salah Alikuwa MISRI ilibidi apande ndege na kuingia katika viunga ANFIELD kwa kusaini mkataba mpya na club yake mpya Salah akabiziwa jezi na 11 aliyokuwa anaivaa Frimino na Frimino kapewa jezi namba 9