Posts

Showing posts from June 15, 2017

Cheikh Tioté akiagwa na wachezaji wenzake ..R.I.P

Image
Aliyekuwa mchezaji wa zamani wa timu ya Newcastle inayoshiriki ligi la PL na baadae akahamia katika ligi la china na huko ndiko mauti yalimfika.. inasemekana alianguka katika viwanja vya mazoezi... R.I.P