JINSI YA KUPIKA TAMBI ZA MAYAI
JINSI YA KUPIKA TAMBI ZA MAYAI MAHITAJI Tambi 1/2 paket Vitunguu maji 2 vikubwa Karoti 1 pilipili hoho 1 Vitunguu swaumu kijiko 1 cha chakula Carry powder kijiko 1 cha chai Njegere zilizo chemshwa 1/2 kikombe Mafuta ya kupikia kiasi Chumvi kwa ladha upendayo mayai 2 MAANDALIZI 1: Chemsha maji yachemke sana, weka chumvi na mafuta kiasi, weka tambi katika maji yaliyo chemka ziache ziive kiasi; sikiisha iva chuja maji na uziache kavu. 2: Chukua bakuli gonga mayai kisha weka pembeni. 3: Chukua kikaango kilicho safi weka jikoni tia mafuta kiasi na utaendelelea kuweka vitunguu maji,vitunguu swaumu,hoho ,karoti na carry powder,kaanga kwa pamoja katika moto mdogo mdogo na havitakiwi kuiva sana. 4: kisha tia tambi na njegere katika mchanganyiko wako na uendelee kukaanga kwa dakika kadhaa. 5: chukua mayai tia katika tambi ongeza moto kiasi, ili tambi zako zichambuke ,moto hautakiwi kuwa mdogo sana ikiwa moto ni mdogo tambi zako zitashika...