Posts

Showing posts from July 19, 2017

Faida ya kula BAMIA -na kazi yake mwilini

Image
1. Michirizi na utomvu unaopatikana katika Bamia, husaidia kusawazisha Kisukari kwa kuzuia kiwango cha Sukari inayotumika katika mwili kutoka kwenye utumbo mkubwa. 2. Utelezi wa bamia huchuja uchafu unaoingia katika Kolestorali na asidi ya Nyongo unaoingia kutoka kwenye Ini ambao usipo dhibitiwa huenda ikasababisha matatizo ya ki-afya. 3. Bamia husaidia kulainisha Utumbo mkubwa kutokana na kazi yake ya kulainisha choo. 4. Bamia hutumika kwa kutibu vidonda vya Tumbo inasaidia kusawazisha Asidi. Magonjwa Maalum Asidi ya Kujirudia rudia na Kufunga Choo Tafuna vipande sita vya Bamia bila kutumia dawa nyigine kilasiku na Asidi ya Kujirudia rudia na kufunga choo kutakwisha, inashusha Sukari kutoka 135 hadi 98 Pumu Bamia ina Vitamin C ambayo inawafana watoto wanaougua ugonjwa wa pumu kupumua vizuri wanapoitumia. Nusu kikombe ya Bamia iliyopikwa huwa na miligramu 13 ya vitamin C. Kidonda Ndugu (Cancer) Bamia husaidia kuweka Utumbo kuwa na hali nzuri hivyo kupunguza uwezakano wakuugua