Posts

Showing posts from April 26, 2016

Mpoto akizungumzia Mashoga

Image

mashindano ya kukata viuno

Image
hatari sana,macho tuu yanahusika

USIKU WA ULAYA..MAN CITY VS REAL MADRID

Image
man city vs real madrid ule usiku uliokuwa ukisubiriwa kwa hamu hatimae umefika.pale miamba ya  ENGLAND MAN CITY wakiwakaribisha miamba mingine kutoka HISPANIA REAL MADRID katika nusu fainali ya kombe la UEFA,mchezo utafanyika katika uwanja wa MAN CITY ambao ni ETIHAD wenye kuingiza mashabiki 55,097. beki wa MAN CITY Pablo Zabaleta zungumzia mchezo huo na kusema" madridi wanapenda kushambulia,hivyo wanaacha sana nafasi nyuma Roma na Wolfsburg walipata sana nafasi wakashindwa kuzitumia,sisi hatuuwachi" ni maneno ya Pablo Zabaleta

JACK WILSHERE KURUDI UWANJANI

Image
  JACK WILSHERE KIPINDI AKIWA MAJERUHI Kiungo machachari wa ARSENAL na timu ya taifa ya ENGLAND JACK WILSHERE aliyekuwa akisumbuliwa na majeruhi ya muda mrefu.alikaa nnje ya uwanja kwa muda wasiku 330.hatimae karudi uwanjani ilikupambana kuisaidia timu yake ya Arsenal iliyopoteza matumainai ya mbio za ubingwa EPL