Posts

Showing posts from October 11, 2016

Kadi ya KIJANI yaanza kutumika kwenye Soccer

Image
historia mpya imewekwa nchini Italy baada ya mshambuliaji wa Vicenza inayoshiriki Ligi ya Serie B, Cristian Galano kuzawadiwa kadi ya kijani kwa kucheza mchezo wa kiungwana (fair play). Maafisa wa soka nchini Italy mwanzoni mwa msimu huu walitangaza matumizi ya kadi hiyo na kusema mchezaji atayekuwa na kadi nyingi zaidi za kijani atapewa zawadi mwishoni mwa msimu. Kadi hiyo ilitolewa baada ya Galano kukiri kwa mwamuzi kuwa, hakukuwa na beki yeyote wa Virtus Entella aliyegusa mpira ambao mwamuzi Marco Mainardi aliamuru kupigwa kona. Rais wa Serie B Andrea Abodi amekiri kwamba kadi hiyo ipo kama alama tu, lakini yenye mantiki ya kuifanya ligi hiyo kuwa na mtazamo chanya kufuatia kukabiliwa na tuhuma mbalimbali za upangaji matokeo. “Ni kadi ambayo ipo kama alama tu,” amesema “Ni kitu rahisi tu. jambo muhimu hapa ni kujua tu kwamba mtu hupewa pindi anapofanya jambo la kiweledi zaidi. “Sisi tunaamini kwamba mchezo wa soka unahitaji ujumbe weye kuijenga jamii yenye mta...

ALI KIBA Amlaumu Meneja Wa Diamond kwa Kukatizwa Kwa Show Yake Kabla Ya ...

Image
Alikiba Aweka Wazi Kilichosababisha Akatize Show Yake, Pia Asema Haelewi Mbona Meneja Wa Diamond,Sallam Alikuwa Backstage Wakati Akiperform