MADHARA YA KUFANYA MAPENZI WAKATI WA HETHI (BLEED)
Kufanya mapenzi wakati wa hedhi ni kitendo cha kujiusisha na mapenzi na msichana au mwanamke aliye katika siku zake za kisichana..Kuna madhara mengi yanaweza yakatokea na kwa kawaida si madhuri kwa afya ya wote wawili.Hivyo kwa ushauri huwa tunapenda watu wajari sana afya zao na si kuzidumaza na kuendekeza hisia kwani hiloo ndilo kosa kubwa la vijana wengi wa siku hizi...Zifuatazo ni baadhi ya madhara yanayoweza kutokea endapo wawili hawa wakafanya ngono wakati KE yupo katika siku zake{period}.. MADHARA KWA MWANAUME. 1.Kupata maambukizi katika njia ya mkojo hadi kwenye kibofu. 2.Maambukizi katika tezi dume(Prostetits) hii inaweza kuathiri mfumo wa uzazi wa mwanaume. 3.Kuziba kwa njia ya mkojo. 4.Utasa au ugumba. 5.Ulegevu wa misuli ya uume na upungufu...