Kmpuni ya SPORT PESA imedhamini TIMU ya HULL CITY ya UINGEREZA
Kampuni ya kamari za michezo ya Sport Pesa kutoka Kenya itadhamini klabu ya Hull City ya Ligi Kuu ya England kwa miaka mitatu ijayo. Sport Pesa inadhamini ligi ya Kenya na pia timu kadhaa za Kenya. ...