Posts

Showing posts from July 27, 2017

Mh.Tundu Lissu aachiwa kwa dhamana

Image
.                            KUTOKA MAHAKAMA YA HAKIMU MKAZI  KISUTU Mh. Tundu Lissu (Rais wa TLS)imemuachia  kwa dhamani ya kiasi cha milioni 10 na kupewa masharti ya kutotoka nje ya mkoa wa DSM bila ruhusa ya Mahakama alikuwa akitetewa na mawakili 18