Posts

Showing posts from June 21, 2017

ALLY YANGA AFARIKI DUNIA

Image
Shabiki mkubwa wa kutupwa wa club ya yanga almaarufu kama ALLY YANGA Amefariki jana tarehe 20 Juni, 2017 kwa ajali ya gari iliyotokea katika Kijiji cha Chipogolo kilichopo katika Wilaya ya Mpwapwa Mkoani Dodoma SHABIKI HUYU NI MAARUFU SANA HAPA TANZANIA kwa kuwa hupenda kushabikia timu ya YANGA , timu ya taifa ya TANZANIA na pia chama cha mapinduzi CCM Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli ametuma salamu za rambirambi kwa familia ya marehemu

Hii ndio picha ya AMBER ROSE akiwa uchi iliofutwa na mtandao wa istagram

Image
Wiki hii imekuwa gumzo katika mitandao baada ya AMBER ROSE kuweka picha kwenye mtandao wa instagram akiwa hajavaa kitu katika sehemu zake za siri na kuzionesha wazi kabisa picha hiyo baada ya kuweka ilisomeka kwa maneno haya Amber Rose challenge anyone? Lol 😂 post your version of my picture and hashtag #AmberRoseChallenge behalf of feminism, body positivity and not conforming to society norms of how we should live, what we should wear and where we should shave 🙄 baada ya muda mtandao wa ISTGRAM waliamua kuifuta picha hiyo - na baadae Amber Rose alipost video na kuonekana kama hajajali kwa tukio hilo lakufutiwa picha hiyo