Posts

Showing posts from August 20, 2016

RAIS MAGUFULI AKABIDHI BAJAJ KWA MLEMAVU THOMAS KONE

Image

MALKIA WA TAARAB SHAKILA SAIDI AFARIKI DUNIA

Image
TANZIA: MALKIA WA TAARAB SHAKILA SAIDI AFARIKI DUNIA JIJINI DAR ES SALAAM LEO Habari za kusikitisha zimetufikia muda huu kuwa malkia wa Tarabu nchini Bi. Shakila Saidi amefariki dunia jioni ya leo muda mfupi baada ya kuanguka na kukimbizwa hospitali ya karibu na nyumbani kwake Mbagala Charambe jijini Dar es salaam. Kwa mujibu wa Rais wa Shirikisho la Muziki Tanzania Bw. Addo November, Bi Shakila hakuwa anaumwa ila baada ya kumaliza kuswali alianguka ghafla na alipofikishwa ho spitali alikokimbizwa alikutwa amekwishafariki. Taarifa kamili ya mipango ya mazishi tutawaletea mara tu tutapozipata.MOLA AILAZE PEMA ROHO YA MAREHEMU - AMINA