Posts

Showing posts from July 20, 2017

Jinsi ya kutoa Michirizi ya mwilini

Image
  Tatizo la kutokea kwa michirizi Mwilini inaweza sababishwa na  madhara ya kunywa madawa ya aina fulani, au ukipaka mafuta, au krimu kali kwenye ngozi husababisha uharibifu wa ngozi nanakutokea kwaa michirizi hiyo {Stretch marks}. Uzuri ni kuwa, huu si ugonjwa. Waweza kuondoa michirizi hiyo au kupunguza kwa asilimia kubwa muonekano wake. Uwapo wa michirizi mwilini ni tatizo linalowasumbua wengi.  Michirizi huweza kutokea shingoni,tumboni,mikononi,mapajani na hata kiunoni.  Watu wengi huangaika  kutafuta dawa ya kuondoa tatizo hilo bila mafanikio. Ni tatizo linaloleta muenekano mbaya hasa mhusika akivaa nguo za wazi.  Moja ya njia ya kutoa michirizi ya mwili   Unywaji wa maji mengi,angalau glasi kumi kwa siku,ulaji wa mboga za majanu na vyakula vyenye wingi wa vitamin C na E sambamba na madini ya Zinc na Silica ikiwamo karoti,spinachi na maharage mabichi. Vilevile matumizi ya juisi ya limao ambayo unaweza kuipaka ...

Mama aliyekutwa barabarani amekaa na Ungo

Image
 mama huyo alionekanai katikati ya barabara akiwa mtupu na pembeni kukiwa na ungo  na mkoba, jambao lililovuta hisia za wengi na kulazimika kusogea karibu na eneo hilo kushuhudia kwa ukaribu ili kubaini kilichojiri. Mama huyo akinyanyuka kutoka kwenye ungo aliokuwa amekaa juu yake katikati ya barabara  maeneo ya  Banana-Ukonga jijini Dar    hali iliyoleta mtafaruku kwa wakazi wa eneohilo kila mtu alikuwa na mawazo tofauti juu ya mama huyo.. japo kuna taarifa kuwa mamahuyu alikuwa akiwasiliana na mtu yaani kama mganga kuwa afanye vitu hivyo iliwachawi waje kumchukua hapo hapo (na inasemekana watu hao ni matapeli wamemchezea mama huyu kiakili ilikumtapeli na mama huyo akafanya kama alivyoagizwa)na ayeyuke .. wengine wanasema hana akili vizuri .. tutakapo pata habari kamili tutaziweka hewani