Posts

Showing posts from May 23, 2016

MICHEZO: Van Gaal afukuzwa

Image
 asa ni rasmi, Manchester United wamemfukuza kazi kocha wao, Louis van Gaal, siku mbili tu tangu alipowapatia Kombe la FA kwenye fainali iliyopigwa dhidi ya Crystal Palace dimbani Wembley. Van Gaal anaondoka na wasaidizi wake wote wa Kidachi kwenye benchi la ufundi, Albert Stuivenberg, Frans Hoek na Max Reckers ambapo Jose Mourinho ataichukua nafasi hiyo. Ikumbukwe kwamba Mourinho alikuwa msaidizi wa Van Gaal klabuni Barcelona. Kocha huyo wa zamani wa Timu ya Taifa ya Uholanzi, Bayern Munich, Bercelona, Ajax na Az anaondoka kwa sababu uongozi na wamiliki wa Man United hawaridhiki na aina ya ufundishaji wake na timu kumaliza katika nafasi ya tano kwenye Ligi Kuu ya England. LVG aliwasili kwenye uwanja wa mazoezi wa Carrington asubuhi ya Jumatatu hii kama kawaida, lakini akiwa na sintofahamu juu ya hatima yake, kisha akafuatiwa na wakili wa Chama cha Makocha wa Ligi, Paul Gilroy QC, ambaye amefanya kazi kwa muda mrefu huko. Baada ya Makamu Mwenyekiti Mtendaji, Ed ...

NJIA ZA KUIMARISHA MAHUSIANO...

Image
         Mambo mengi hutokea katika mahusiano na pia miaka ya hivi karibuni mapenzi mengi huvunjia kutokana na sababu nyingi saana.maisha yamebadilika na pia utandawazi umekuwa saana Iliukuze mahusiano yako na mpenzi wako lazima upitie hizi njia 1.MTIE MOYO KILA WAKATI MPENZI WAKO inamaana kuwa nae karibu iliujuwe ni nini kinamsumbua jaribu kufariji hata kama haunauwezo wa wewe kumsaidia matatizo yake.mjali kila muda hii yote inatakiwa muwe mnavifanya sio kwa mwanaume tu au mwanamke tu. 2.MUONESHE POPOTE maana yake pale unapokuwa labda mnatoka au kakutembele kazini munyeshe ufuraha kuwa yeye ni muhimu kwako..mtambulishe kwa wenzako aliowakota hapo..jiweke mazingira ya kimapenzi pale unapokuwa na mpenzio..ukaribu huu unasaidia kila moja kujua kuwa wanamaanisha kwenye mapenzi..pale unapotembea nae sio lazima mshikane mikono tu..hata kuwa karibu sana yaani kusogeleana.. 3.FURAHI NAE (CHEKA) Hii inamaana kuwa kama mtakuwa na furaha k...

Njia ya Kufanya Kama Mwanamke Hataki Kujibu Texts Zako

Image
inatoke ndo mwanamke unaedhani atazima ndoto zako za kuwa mwanamke uanempenda alafu anakuwa hajibu text zako.kiukweli kama mwanaumke hajibu text zako tena muhimu huwa mwanaume anakuwa na hasira sana na pia anakuwa kwenye mawazo saana UNAJUA SABABU NI NINI..? Moja ya sababu zinazopeleke mwanamke kushindwa kukujibu text ni kutokana na mazingira yake..mfano anapika au yuko makini na kazi zake au anasoma.inatakiwa mwanaume ujuwe muda huo unaomtumia text huwa ankuwa mazingira gani..hii itasaidia wewe kuwa na moyo hata wakuendelea kumpenda au kumfukuzia .. 1.MWAMBIE UKWELI WAKO  Mwanaume unatakiwa ufunguke mara ya kwanza unapokutana na huyu mwanamke hata kama kwenye mitandao ya kijamaii..onyesha uchangamfuu wako kwake 2.ONESHE UMUHIMUHI WAKE KWAKO  hii itasaidia yeye kukuona unakukaribu na yeye na kukufanya uwe karibu saana..pia unakuwa unampa jkuda wa yeye kufanya jambo lake kwa wakati..mfano..kama amekwambia anapika .mwambie haya pika kwanza hii ni njia ya yeye kuona una...