Posts

Showing posts from May 5, 2016

BAADA YA VIDEO YA CHURA KUFUNGIWA,SNURA AOMBA RADHI KWA KUWA ZALILISHA WANAWAKE WENZAKE

Image
Snura amewaomba radhi watanzania kwa video ya wimbo wake ‘Chura’ inayowadhalilisha wanawake na iliyo kinyume na maadili. Snura amedai tayari amekamilisha mchakato wa usajili na BASATA imempa kibali. Pia amedai kuwa amewasilisha video mpya ya wimbo huo kwa bodi ya filamu ya Tanzania ambayo itaikagua.