Posts

Showing posts from May 22, 2017

Nyimbo ya msanii mpya wa WCB -Lava lava -TUACHANE

Image
MSANII mpya wa WCB ametambulishwa leo na hii ni moja ya nyimbo zake  Diamond anazidi kuwapa vijana ujira mana msani kama lava lava leo hii amenza kujulikana kwa wale watu walikuwa hawamjui.. WCB ni moja ya sehemu ya ajira kwa vijana