mazoezi kwa ajili ya kufanya uke uwe tight(mnato)

wanawake wengi husumbuliwa na tatizo ala uke kuwa mkubwa, wengi huumizwa na tatizo hili na wakati mwingine kupelekea mahusianao yao na wapenzi wao kuharibika, leo nitawaelezea njia rahisi ya kuepukana na tatizo hili kwa kutumia njia hizi

squat 

zoezi hili hukaza tumbo na misuli ya uke

zoezi la kunyanyua miguu

zoezi la kuinua kiuno juu

zoezi hili hukaza kiuno na misuli ya uke

mazoezi ya yoga

zoezi la kujaribu kutapika

ukiwa unapiga mswaki asubui jaribu kufanya kama unaupeleka karibu na koremeo ukifanya hivyo utajisikia kama unataka kuyapika au unaweza kujiingizia vidole mdomoni. hii husaidia kukaza misuli kwa wanaume na wanawake zoezi la kufanya kama unataka kutapika hukaza misuli ya uke

mazoezi ya kukaza tumbo

Kuinua visigino

zoezi lingine kwa wale.wanaovaa viatu vyenye visigino, sio lazima viwe virefu sana.  unapokuwa umesimama jaribu kuinua kidogo.visigino vyako

tumia vifaa nya kufanyia mazoezi ya uke

kama unahisi uke wako bado haubani hata kwa njia ya hayo mazoezi unaweza  kutumia vifaa vya kufanyia mazoezi ya uke lakini kabla hujaamua kutumia vifaa hivi muone Daktari kwanza akushauli

tumia jelly

unaweza ukaumia jelly ya kukaza uke, ila baada ya kupata ushauli toka kwa Daktari

wanawake wengi husumbuliwa na tatizo ala uke kuwa mkubwa, wengi huumizwa na tatizo hili na wakati mwingine kupelekea mahusianao yao na wapenzi wao kuharibika, leo nitawaelezea njia rahisi ya kuepukana na tatizo hili kwa kutumia njia hizi

mazoezi ya kubana misuli ya sehemu za siri(kegel)

kitaalamu huitwa kegel, haya ni mazoezi ya kubana misuli iliyopo ukeni. misuli hii iko katika ya sehemu ya haja kubwa(mkundu) na uke au uume,
​hapo kulipowekwa alama ya mishale ya blue ndo kwenye hiyo misuli
jinsi ya kufanya zoezi hili ni  kujaribu kufanya kama unazui mkojo au haja kubwa. unaweza ukafanya zoezi hili ukiwa mahali popote bila mtu yoyote kujua. zoezi hili  la kukaza  misuli  limekuwa na manufaa mengi kwa wanawake  wengi





tumia jelly

unaweza ukaumia jelly ya kukaza uke, ila baada ya kupata ushauli toka kwa Daktari

fanya upasuaji

kama tatizo lako ni kubwa sana na limeshindikana kwa njia zote hizo basi unaweza kufanyiwa upasuaji wa kupunguza uke
Picture

Popular posts from this blog

SIFA ZA MWANAMKE MNENE KITANDANI NA RAHA YAKE.

Faida ya kula BAMIA -na kazi yake mwilini

KAZI YA SHANGA KIUNONI NA MAANA YA RANGI ZAKE........