JINSI YA KUHESABU SIKU HATARI ZA KUPATA MIMBA


Naomba ieleweke kwamba wanawake wametofautiana kwa asilimia kubwa sana ktika mzunguko wao wa bleed hivyo kwa utangulizi tuu kuwa makini na jinsi unavyoanza bleed ili iweze kukusaidia katiaka kuhesabu kwako siku za hatari ..Na si kulinganisha siku ambayo labda ulianza sawa na rafiki yako....

  1:16 days abnormal
2:18 days abnormal
3: 21 day cycle abnormal

4: 28 day cycle which is normal

5:30 days cycle which is normal

6: 32 days cycle which is normal

7: 33 , 35, 40 or more this is abnormal


How to calculate 16 day m -cycle {jinsi ya kuhesabu siku zako}

mfano: umeanza kubleed leo tarehe 9 / 7/2016 kwa hiyo chukua daftari na andika na hesabu moja. hesabu kuanzia hapo mpaka utakapo fika 16 na ujua siku ya kumi na sita itaangukia tarehe ngapi? utakuja kuona siku ya 16 inaangukia tarehe 24/7/2016 hivyo your next bleed should start 25/7/2016. hivyo hivyo utaanza kuhesabu kutoka tarehe 25/7/2016 mpaka kumi na sita na utakuja kungundua kuwa siku ya kumi na sita itakuwa ni tarehe 9/8/2016. hivyo inatakiwa uanze kubleed tarehe 10/8/2016. hivyo utakuwa unahesabu vivyo kila mwezi.

Hivyo basi wanawake wanaobleed within 18 days and below huwa wana matatizo hivyo wanatakiwa waende kumuona daktari kwani kitaalamu sio sahihi. hivyo ikitokea mke wako anableed for 18 DAYS CYCLE MPELEKE hospitali akapate ushari.

Angalizo: kuna wanawake wanaokuwa na cycle ya 24 or 26 days
[
U]
WANAWAKE WANAOBLEED 28 DAYS HOW TO CALCULATE SAFE DATE AND SIKU ZA MIMBA AS OTHERS SAID BEFORE[/U]

MFANO
UMEANZA KUBLEED LEO TAHERE 9/7/2016 NA UNA MZUNGUKO WA SIKU 28


9, 10,11,12,13,14,15,16,17,18,19, 20,21,22,23,24,25,26,27,28,29, 30,31/JULY
1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 11 12 13 14 15 16 17 18 19 20 21 22 23

1, 2, 3, 4, 5/AUGUST
24 25 26 27 28

HIVYO THE NEXT BLEED WILL BE TAREHE 6/AUGUST 2016
RED MEANS SIKU ZA HATARI


HIVYO BASI SIKU SALAMA NI BAADA YA DAMU KUKATA UNAWEZA KUANZA KUMTUMIA MAMA LAKINI IKIFIKA SIKU YA KUMI NA TATU YAI KUWA LIKO YATARI NA HUANZA KUSHUKA. KIPINDI HIKI MAMA HUTOKWA NA UTE MZITO WA KUNATA AMBAO HUWA NI DAWA KWA AJILI YA KULINDA NA KUTENGENEZA MJI WA MIMBA KUWA TAYARI KUPOKEA MBEGU ZA KIUME KWA AJIRI YA URUTUBISHO .HIVYO MBEGU ZA BABA HUWEZA HUSAFIRI KWA URAHISI ZAIDI KATIKA MAJI MAJI HAYA.

WANAWAKE WENYE SIKU 30 CYCLE

ASSUME AMEANZA LEO TAREHE 9/7/2016

9,10.11.12.13,14,15,16,17,18,1 9,20,21,22,23,24,25,26,27,28,2 9,30,31/JULY
1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 11 12 13 14 15 16 17 18 19 20 21 22 23

1, 2, 3, 4, 5, 6, 7 /AUGUST
24 25 26 27 28 29 30

HIVYO THE NEXT BLEED ITAKUWA TAREHE 8/8/2016

ANGALIA TOFAUTI KATI YA MTU ANAYEBLEED KWA SIKU 28 NA 30. MY LOGIC IS YAI HUCHUKUA SIKU KUMI NA NNE KUHARIBIKA BAADA YA KUKOSA KIRUTUBISHO. HIVYO HATA MWANAMKE AWE ANA CYCLE YA 16,18,20,24,26,28.30.32.34 OR 40 OR MORE. ITACHUKUA SIKU KUMI NA NNE ILI YAI LAKE LIWEKE KUHARIBIKA. NA SIKU YA KUMI NA TANO NDIO HUWA SIKU YA KWANZA KUANZA KUBLEED YAANI YAI LIMEKOSA KIRUTUBISHO.

VIVYO ANZA KUHESABU KUANZIA SIKU YA TAREHE 28 KURUDI NYUMA UTAKUTA KUWA SIKU YA KUMI NA NNE NI TAREHE 23. HIVYO SIKU YA HARATARI ITAKUWA TAREHE 22 LAKINI KWA KUWA YAI HUCHUKUA SAA 72 WAKATI LIKISUBIRI KIRUTUBISHO NDIO MAANA TUNAANZA NA SIKU YA 13 , 14, 15 TOKEA PALE ULIPOBLEED.

NA KWA MWANAMAMA ANAYECHUKUA SIKU 30 UKIHESABU KUANZIA 30 KURUDI NYUMA UTAGUNDUA KUWA SIKU YA 14 NI TAREHE 25/7

HIVYO SIKU YA HATARI NI TAREHE 24/7 NA KWA SABAU YAI HUKAA SIKU TATU HIVYO TAREHE 23,24, NA 25/7 /2009 AMBAZO NI SAWA NA SIKU YA 16, 17, NA 17 KATIKA KUHESABU CYCLE

YULE WA SIKU THELATHINI NA MBILI ITAKIWA SIKU YA HATARI NI YA 18 NA SIKU ZAKE TATU ZA HATARI NI 17, 18 NA 19 AMBAZO TAREHE 25,26,27/JULY KAMA SIKU ZAKE ZA HATARI.......

Popular posts from this blog

SIFA ZA MWANAMKE MNENE KITANDANI NA RAHA YAKE.

mazoezi kwa ajili ya kufanya uke uwe tight(mnato)

Faida ya kula BAMIA -na kazi yake mwilini

KAZI YA SHANGA KIUNONI NA MAANA YA RANGI ZAKE........