USIKU WA ULAYA..MAN CITY VS REAL MADRID


ule usiku uliokuwa ukisubiriwa kwa hamu hatimae umefika.pale miamba ya  ENGLAND MAN CITY wakiwakaribisha miamba mingine kutoka HISPANIA REAL MADRID katika nusu fainali ya kombe la UEFA,mchezo utafanyika katika uwanja wa MAN CITY ambao ni ETIHAD wenye kuingiza mashabiki 55,097.


beki wa MAN CITY Pablo Zabaleta zungumzia mchezo huo na kusema" madridi wanapenda kushambulia,hivyo wanaacha sana nafasi nyuma Roma na Wolfsburg walipata sana nafasi wakashindwa kuzitumia,sisi hatuuwachi" ni maneno ya
Pablo Zabaleta

Popular posts from this blog

SIFA ZA MWANAMKE MNENE KITANDANI NA RAHA YAKE.

mazoezi kwa ajili ya kufanya uke uwe tight(mnato)

Faida ya kula BAMIA -na kazi yake mwilini

KAZI YA SHANGA KIUNONI NA MAANA YA RANGI ZAKE........