Baraka Da Prince & Ben Pol Ft. Mr Blue - Mwambie ..Lyrics/mistari




 [Verse 1 – Barakah Da Prince]
Ningelianza mi nisingeliwaza ah ah
Ah, niliwekeza mapenzi yangu
Moyo wangu, kwake kabisa nikafungua
Kuwekeza maisha yangu
Ishara yangu ilikuwa ni upendo
Mi sikudhani maumivu yangu
Jeraha langu, tena kama lingejirudia
Maake nilimukabithi mali
Nikamupa upendo wote
Nilichekwa mpaka na marafiki
Kwa kutendwa ila sikuambilika
Ningemuweza wapi mimi mwenye dhiki
Kwa uzuri alokuwa nao?
Mwenye ladha kipenzi mi sikuambilika
Kwa kujua ni yawalimwengu
Mwisho kwake yeye mi sikuthamani
Mi wa kazi gani akanambia
[Chorus – Barakah Da Prince]
Nenda mwambie…
Maumivu alonipa kumpenda sitochoka
Ameweka historia
Nikifa asilie
Maana chanzo cha maumivu ya kunikondesha
Mwambie ni yeye
[Verse 2 – Ben Pol]
Hata majirani wana… kosa neno la kusema
Juu yako wewe, mrembo wewe
Hata na wazazi wana… uliza hii ni nini tena?
Kumbe nawe ndo wale wale
Mbona hukusema mapema?
Kama kwako sina maana
Ningejitaftia mwingine
Kama ulivyo na mwingine
Mbona sasa hivi tena
Ukaniacha na dilemma?
Nkaanza maisha mengine
Acha nije kivingine
[Chorus – Ben Pol]
Ila mwambie…
Maumivu alonipa kupenda sitachoka
Ameweka historia
Nikifa asilie
Maana chanzo cha maumivu ya kunikondesha
Mwambie ni yeye
[Verse 3 – Mr Blue]
Mwambie
Penzi lake bora kwenye ubora wake
Mistari nachora kusema ubaya wake
Nimedorola kuondoka kwake
(Polisi) bila ving’ora hawafanyi kazi yake
Alinifanya kama crazy, lazy, mvivu
Moyo wangu ulipata maumivu
Kichwa changu kimepata utulivu
Neno langu leo limepata msikivu
Kweli alinichoma nikawa kama jivu
Kwake nimekoma nilipona kula mbivu
Kamwambie basi asione wivu
Ye si yuko na bwana wake, Steve
Yalopita yamepita
Mafunzo yake kama vita
Na mwingine senorita
Akinishika nashikika
Aa kwenye jiko napikika
Aa pendo lake limepita
Yamekwisha!

Popular posts from this blog

SIFA ZA MWANAMKE MNENE KITANDANI NA RAHA YAKE.

mazoezi kwa ajili ya kufanya uke uwe tight(mnato)

Faida ya kula BAMIA -na kazi yake mwilini

KAZI YA SHANGA KIUNONI NA MAANA YA RANGI ZAKE........