Hii ndio tofauti kati ya Ronaldinho Gaucho na Jay Jay Okocha

Ronaldinho gaucho vs Jay Jay okocha
>>>kama Kuna kazi ngumu ni kusema Nani fundi Kati Yao kwa sababu Hawa watu wawil ni master skills duniani japo okocha hapewi heshima hiyo.

Okocha
>>>okocha ni mwalim wa Ronaldinho gaucho ukitaka kuamini hili angalia skills zao alafu mwangalie kila mmoja utagundua ninachokwambia. Kama Kuna wachezaji waliozaliwa na vipaji basi Jay Jay okocha ni kipaji haswaa kuanzia kufunga, skills, Dribbles, n. K Huyu alikuwa fundi.
 




>>>Ronaldinho Alipata muda mwingi wa kujifunza vitu adim kutoka kwa okocha kipindi wakiwa PSG na kipindi hicho dinho alikuwa anachoma mahindi benchi mbele ya mwafrika okocha. Hadi okocha alipouzwa kwenda Bolton England ndio dinho akaanza kupata namba PSG ya kudumu.
 
>>Kuna Swali watu wengi wanajiuliza kwa nini okocha hakupa mafanikio mengi akma dinho pamoja na ufundi wote huo Jibu ni kuwauliza Brazil mwaka 1996 chini ya kocha wao hatareeeeeee alieitwa zagaro, waulize Spain mwaka 1998, waulize Argentina mwaka 1998, na ufaransa usiwasahau pia Hawa wote walikufa mbele ya Nigeria Kaz kubwa ilikuwa inafanywa na mnyama okocha mwisho wa siku muulize olver khan kuwa okocha alimfanya nn Jibu kaa mbali maana kama ana bastola basi uhai huna kazi aliyofanyiwa na okocha anaitwa yeye. Pamoja na hayo yote okocha hakupata mafanikio mengi Ulaya kwa sababu ya rangi yake na kucheza timu tofauti tofauti sana lakini Bolton mpya kesho okocha ni mfalme wao na kaptan mwenye mafanikio Zaid kutoka Africa.
  >>>kibaya zaid okocha amecheza mpira kwenye kipindi cha mpira kipaji na burudani sio ajira kama sasa.




Ronaldinho gaucho
  >>>Siku zote ukijifunza na kutumia mafunzo vizur lazima uwe bora kulko mtalaam wako hapa nazungumzia kipaji cha ajabu kutoka kwa mtoto cha kibrazil Ronaldinho gaucho ambaye aliitumia muda wake kuwa na okocha kufanya kujua makubwa na kuelewa maana yake. Naomba nikwambie angalia skills za dinho then utaona okocha ndani ya miguu ya dinho coz 80% ya skills, movement, Dribbles, na free kicks ni okocha styles Ila zimeongezewa utaalam kidgo.
>>>mafanikio makubwa ya dinho yako Barcelona kwa nini Alipata mafanikio makubwa Barcelona Jibu ni kuwa alifika Barcelona akaambiwa mpira umehama kutoka kipaji na burudani hadi ajira na kwa sababu Barcelona walikua wanahitaji utawala wa lazima Ulaya Ronaldinho akapewa jukum kubwa la kuibeba timu ukitaka kutaman hili kama ulikuwa unafatilia Barcelona tangu mapema ni kuwa 60% za utundu wa dinho zilifanywa kipindi Barcelona ikiwa na matokeo mkononi sio kipindi timu inatafuta matokeo.
👉👉ajira ya mpira imempa Ronaldinho mafanikio huku akatumia kipaji chake bora zaidi kutoa burudan isiyo na kifani...
LAKINI WOTE WANAJUA 

Popular posts from this blog

SIFA ZA MWANAMKE MNENE KITANDANI NA RAHA YAKE.

mazoezi kwa ajili ya kufanya uke uwe tight(mnato)

Faida ya kula BAMIA -na kazi yake mwilini

KAZI YA SHANGA KIUNONI NA MAANA YA RANGI ZAKE........