NAY wa MITEGO afungiwa na BASATA kutokujihusisha na MUSIC

MSANII wa muziki wa Bongo Fleva, Nay wa Mitego amefungiwa kujihusisha na kazi za sanaa hiyo kwa muda usiojulikana.
Taarifa kutoka Baraza la Sanaa Tanzania zinasema Nay amefungiwa kutokana na Wimbo wake wa Pale Kati huku pia akiwa hajajisajili kwenye baraza hilo linalosimamia kazi za sanaa
Awali Basata walifungia Wimbo wa Shika adabu yako ya msanii huyo kwa madai ya kutokuwa na maadili mbele ya jamii.

Popular posts from this blog

SIFA ZA MWANAMKE MNENE KITANDANI NA RAHA YAKE.

mazoezi kwa ajili ya kufanya uke uwe tight(mnato)

Faida ya kula BAMIA -na kazi yake mwilini

KAZI YA SHANGA KIUNONI NA MAANA YA RANGI ZAKE........