MALKIA WA TAARAB SHAKILA SAIDI AFARIKI DUNIA






TANZIA: MALKIA WA TAARAB SHAKILA SAIDI AFARIKI DUNIA JIJINI DAR ES SALAAM LEO
Habari za kusikitisha zimetufikia muda huu kuwa malkia wa Tarabu nchini Bi. Shakila Saidi amefariki dunia jioni ya leo muda mfupi baada ya kuanguka na kukimbizwa hospitali ya karibu na nyumbani kwake Mbagala Charambe jijini Dar es salaam.
Kwa mujibu wa Rais wa Shirikisho la Muziki Tanzania Bw. Addo November, Bi Shakila hakuwa anaumwa ila baada ya kumaliza kuswali alianguka ghafla na alipofikishwa hospitali alikokimbizwa alikutwa amekwishafariki.
Taarifa kamili ya mipango ya mazishi tutawaletea mara tu tutapozipata.MOLA AILAZE PEMA ROHO YA MAREHEMU - AMINA

Popular posts from this blog

SIFA ZA MWANAMKE MNENE KITANDANI NA RAHA YAKE.

mazoezi kwa ajili ya kufanya uke uwe tight(mnato)

Faida ya kula BAMIA -na kazi yake mwilini

KAZI YA SHANGA KIUNONI NA MAANA YA RANGI ZAKE........