ALLY YANGA AFARIKI DUNIA

Shabiki mkubwa wa kutupwa wa club ya yanga almaarufu kama ALLY YANGA
Amefariki jana tarehe 20 Juni, 2017 kwa ajali ya gari iliyotokea katika Kijiji cha Chipogolo kilichopo katika Wilaya ya Mpwapwa Mkoani Dodoma






SHABIKI HUYU NI MAARUFU SANA HAPA TANZANIA kwa kuwa hupenda kushabikia timu ya YANGA , timu ya taifa ya TANZANIA na pia chama cha mapinduzi CCM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli ametuma salamu za rambirambi kwa familia ya marehemu

Popular posts from this blog

SIFA ZA MWANAMKE MNENE KITANDANI NA RAHA YAKE.

mazoezi kwa ajili ya kufanya uke uwe tight(mnato)

Faida ya kula BAMIA -na kazi yake mwilini

KAZI YA SHANGA KIUNONI NA MAANA YA RANGI ZAKE........