Mohamed Salah akamilisha usajili LIVERPOOLFC

Mchezaji wa Club ya ROMA na timu ya Taifa ya Egypt -ameamua kujiunga na Majongoo wa ENGLAND ,liverpoolfc
maada ya mvutano uliokuwepo kati ya LFC na ROMA juu ya dau la mchezaji huyo uliisha na makubaliano yakakamilika, Salah Alikuwa MISRI ilibidi apande ndege na kuingia katika viunga ANFIELD kwa kusaini mkataba mpya na club yake mpya





Salah akabiziwa jezi na 11 aliyokuwa anaivaa Frimino

na Frimino kapewa jezi namba 9


Popular posts from this blog

SIFA ZA MWANAMKE MNENE KITANDANI NA RAHA YAKE.

mazoezi kwa ajili ya kufanya uke uwe tight(mnato)

Faida ya kula BAMIA -na kazi yake mwilini

KAZI YA SHANGA KIUNONI NA MAANA YA RANGI ZAKE........