PAPA WEMBA ALIJITABIRIA KIFO


Papa Wemba aliwahi kufanya mahojiano na mwandishi wa habari wa Sauti ya Amerika (VOA) nchini DRC Roger Muntu, ambaye pia alikuwa ni mtu anayefahamiana naye zaidi, na akamueleza kuwa anatamani akifa, afie stejini kwani ndiyo sehemu pekee ambayo hujihisi kama anapaa akiwa anaimba.

“Alisema nataka nifie stejini, nataka siku zangu za mwisho ziwe jukwaani, nilipomuuliza kwa nini, alisema kwa sababu ndiyo kila muda ninapokuwa jukwaani nikiimba, nahisi kama ninapaa, hivyo ndoto yake ilikuwa kweli”, alisema Roger Muntu akimueleza Papa Wemba.

Papa Wemba alifariki siku ya Tar 24 Aprili 2016, akiwa Abidjan nchini Ivorycoast kwenye tamasha la muziki, ndipo alipoanguka ghafla na kufariki dunia muda mfupi baadaye akikimbizwa hospitali.
@EATV

Popular posts from this blog

SIFA ZA MWANAMKE MNENE KITANDANI NA RAHA YAKE.

mazoezi kwa ajili ya kufanya uke uwe tight(mnato)

Faida ya kula BAMIA -na kazi yake mwilini

KAZI YA SHANGA KIUNONI NA MAANA YA RANGI ZAKE........