TUPO SAFARINI

Maisha ni safari ndefu sana, hatuna budi
kusafiri.....
Nami nasema; Uhai ni zawadi asilia, hatuna budi
kuuheshimu hata wa wale walio dhaifu.
Maisha ni matumaini yanayo waka katika kila
moyo, tuyaache yakiwaka.
Maisha ni mwanga unao fungua njia mpya,
tuyafungue pamoja.
Maisha ni kile ambacho sisi sote tunakitamani,
shangwe, furaha na haki ya kila mmoja.
Maisha ni safari ya pamoja....tusafiri pamoja bila
kubaguana

Popular posts from this blog

SIFA ZA MWANAMKE MNENE KITANDANI NA RAHA YAKE.

mazoezi kwa ajili ya kufanya uke uwe tight(mnato)

Faida ya kula BAMIA -na kazi yake mwilini

KAZI YA SHANGA KIUNONI NA MAANA YA RANGI ZAKE........