UNAJUA BENITEZ ALIWAAMBIA NINI WACHEZAJI WAKE HALF-TIME DHIDI YA LIVERPOOL?




Baada ya kuchapwa magoli 2-0 hadi kufikia hal-time, ilidhaniwa huenda ingekuwa ni siku nyingine ya huzuni kwa mashabiki wa Newcastle United. Hayo yote yalibadilika wakati Papiss Cisse alipofunga bao la kwanza kwa vijana wa Benitez kabla ya Jack Colback  kusawazisha na kuibuka na pointi moja ugenini.
Akizungumza baada ya mchezo, Rafa Benitez aliwasifia sana vijana wake akiwaambia waandishi wa habari wachezaji wake walipambana na kupata pointi moja kwenye mchezo mgumu uliokuwa unawakabili. Pia alizungumzia mapokezi aliyoyapata aliporejea Anfield mahala ambapo alitumia muda mwingi katika maisha yake kama kocha.
Rafa anasema kwamba, kurejea kwake kwenye uwanja wa Liverpool kulijawa na hisia nyingi lakini alifarijika kusikia mashabiki wa Liverpool na Newcastle walipokuwa wakiimba kwa kulitaja jina lake wakati wa mechi.
Alipoulizwa aliwaambia nini wachezaji wake wakati wa mapumziko, Benitez alisema, aliwaambia wachezaji wake wapambane kwasababu kwa sasa hawana cha kupoteza
Image result for BENITEZ VS LIVERPOOL.2016

Popular posts from this blog

SIFA ZA MWANAMKE MNENE KITANDANI NA RAHA YAKE.

mazoezi kwa ajili ya kufanya uke uwe tight(mnato)

Faida ya kula BAMIA -na kazi yake mwilini

KAZI YA SHANGA KIUNONI NA MAANA YA RANGI ZAKE........