ADHARI ZA KUFANYA MAPENZI KINYUME NA MAUMBILE
HISIA
Miaka ya hivi karibuni imeibuka aina mpya ya kushiriki tendo la ndoa kwa mtindo wa kisasa ambao unahusisha mapenzi kinyume na maumbile. Suala hili linatokana na utandawazi ambapo wanawake na wanaume huiga mtindo huo kutoka mataifa ya magharibi kupitia intaneti pamoja na video za ngono.
Aidha wanawake na wanaume huiga staili hiyo ya kushiriki tendo la ndoa pasipo kuogopa madhara ya kiafya yanayoweza kutokea kwa wanawake na wanaume. Mtindo huo unao onekana kuwa ni wa kisasa una hatari kubwa kwa afya kati ya mwanaume na mwanamke.
Kuiga iga mitindo ya maisha ya kimagharibi pasipo kuangalia madhara yake ni hatari kwani watu wengi waliowahi kuhusika katika mtindo huo wanajutia maamuzi yao kutokana na madhara waliyoyapata.
Yafuatayo ni madhara yanayoweza kutokea kwa upande wa mwanaume:
-Kuziba mirija katika sehemu ya siri ya mwanaume
Kwa upande wa mwanamke ni pamoja na
Kupanuka na kusababisha kutokwa na haja kubwa katika kipindi mwanamke anapotaka kujifungua.
Si vizuri kuiga mambo yasiyo faa eti kwa vile unaangalia katika intaneti pamoja na video za watu wa magharibi.