Ajali ya meli ya MV Bukoba iliyotokea mwaka 1996 (miaka 20 iliyopita) siku kama ya leo




Siku ya LEO  tarehe 21 Mei ni siku ya kumbukumbu ya ajali ya meli ya MV Bukoba iliyotokea mwaka 1996 (miaka 20 iliyopita) katika Ziwa Victoria. Mabaki ya miili ilizikwa sehemu moja katika eneo la Igoma jijini Mwanza. Kupitia kwa Mwanamitindo wa Kimataifa @FlavianaMatata chini ya ‪#‎FlavianaMatataFoundation‬ wanafanya semina za Usalama wa vyombo vya majini na kushiriki kwenye misa ya kuwaombea wahanga wa ajali hiyo. Flaviana ni mmoja kati ya watu waliopoteza ndugu (Mama) zao kwenye ajali hiyo na amekuwa akifanya kumbukumbu hii kila mwaka.
‪#‎MvBukoba20‬ ‪#‎UsalamaMajini‬

Popular posts from this blog

SIFA ZA MWANAMKE MNENE KITANDANI NA RAHA YAKE.

mazoezi kwa ajili ya kufanya uke uwe tight(mnato)

Faida ya kula BAMIA -na kazi yake mwilini

KAZI YA SHANGA KIUNONI NA MAANA YA RANGI ZAKE........