DIAMOND PLATNUMZ ..ashinda mkanda wa BTW huko DUBAI..kwenye mashindano ya LIP SYNC BATTLE AFRICA ya @MtvBaseAfrica







                  hiki ndIo alicho kisema DIAMOND....Thanks alot LSBA team, the crowd
and the whole @MtvbaseAfrica team without Forgeting my Legend brother @TheoMafikizolo we had fun.... btw America am in DUBAI now see you in a Second....
( Ningependa kumshukuru Mwenyez Mungu na kuwajuza kuwa kijana wenu nimewawakilisha vyema kwenye Mashindano ya LIP SYNC BATTLE AFRICA ya @MtvBaseAfrica na kuweza kuibuka kidedea kwenye Mashindano ya Stage hiyo na kunyakua Mkanda.... BTW Dallas niko DUBAI now soon ntakuwa Hapo America!!! )

Popular posts from this blog

SIFA ZA MWANAMKE MNENE KITANDANI NA RAHA YAKE.

mazoezi kwa ajili ya kufanya uke uwe tight(mnato)

Faida ya kula BAMIA -na kazi yake mwilini

KAZI YA SHANGA KIUNONI NA MAANA YA RANGI ZAKE........