MADHARA YA KUJICHUBUA (PUNYETO) KWA MWANAUME
1. KUJICHUA INAUA NGUVU ZA KIUME:
Kitendo cha kujichua kinaweza kusababisha upungufu wa nguvu za kiume, kwani
kipindi unajichua jua ile mishipa inayofanya uume usimame unakuwa unaichua na
uume unakuwa umesimama kwa muda mrefu sasa ikitokea ukawa unafanya hivi kila
siku ile mishipa inalegea na uume unakuwa unakosa nguvu hata ukisimama hauwi
strong unakuwa kama umelegea. Binti anakuwa amejitunza anajua siku
nitakapoolewa mambo yote yatakuwa sawa anafika ndani na kukuta kumbe! kiungo
kilishatumika sana kabla ya wakati.
2. KUWAHI KUMALIZA MAPEMA KATIKA TENDO:
Mara nyingi mtu aliyezoea kujichua atakumbana na tatizo au changamoto ya huwahi
kumaliza mapema pindi akiwa anafanya mapenzi na mwezi wake na wakati mwingine
uume hushindwa kusimama kwa mara nyingine na kujikuta anashindwa kurudia tendo
ikiwa mwenzi wake bado hajaridhika na anahitaji kuendelea na tendo hilo.
3. Huchangia
Kuleta Uharibifu Katika Mishipa ya Fahamu. Wanaume wengi sana wanatumia
mikono mikavu kujisaga, wengine ni mafundi "garage" mikono yao imezoea
kushika vyma na vitu vizito, weingine ni mavundi ujenzi mikono yao imezoea
kushika mawe na matofari, wengine ni wakulima hodari wamezoea kushika jembe
mpaka mikono imeota sugu. Kile kiungo ni laini sana, misipa yaa kiungo hicho
haikukusudiwa isuguliwe na mikono mikavu na migumu kama hiiyo. Jambo hili
huwafanya waharibu mishipa ya fahamu inayounganisha uume na mfumo uliopo kwenye
ubongo. Uharibifu huu humfanya mwanaume apoteze msisimko wa kujamiiana au hata
akiupata humfanya ashidwe kufikisha hisia zake kisawasawa hasa akikutana na
mwenzi wake ambaye sehemu zake nyeti ni laini sana tofauti na mikono alozoea
kujichua nayo.
4. Tatizo
la Kihisia. Jambo jingine hatari linalo mkabili anaye jichua ni upotevu wa
hisia wakati wa kujichua kwa mfano ili afike kwenye kilele lazima akuze hisia
zake kwa kiwango cha juu, pengine kupita ukweli halisi ataokutana nao pindi
atakapokuwa na mke faraghani.