Njia ya Kufanya Kama Mwanamke Hataki Kujibu Texts Zako

inatoke ndo mwanamke unaedhani atazima ndoto zako za kuwa mwanamke uanempenda alafu anakuwa hajibu text zako.kiukweli kama mwanaumke hajibu text zako tena muhimu huwa mwanaume anakuwa na hasira sana na pia anakuwa kwenye mawazo saana

UNAJUA SABABU NI NINI..?
Moja ya sababu zinazopeleke mwanamke kushindwa kukujibu text ni kutokana na mazingira yake..mfano anapika au yuko makini na kazi zake au anasoma.inatakiwa mwanaume ujuwe muda huo unaomtumia text huwa ankuwa mazingira gani..hii itasaidia wewe kuwa na moyo hata wakuendelea kumpenda au kumfukuzia ..
1.MWAMBIE UKWELI WAKO
 Mwanaume unatakiwa ufunguke mara ya kwanza unapokutana na huyu mwanamke hata kama kwenye mitandao ya kijamaii..onyesha uchangamfuu wako kwake

2.ONESHE UMUHIMUHI WAKE KWAKO
 hii itasaidia yeye kukuona unakukaribu na yeye na kukufanya uwe karibu saana..pia unakuwa unampa jkuda wa yeye kufanya jambo lake kwa wakati..mfano..kama amekwambia anapika .mwambie haya pika kwanza hii ni njia ya yeye kuona unamjali saana na unajali mazingira aliyonayo

3.JINSI YA KUANDIKA TEXT
 hii inajulikana kwa wanawake wote kuwa ni kama watoto wadogo..lazima uwe mcheshi na mwenye utani kidogo..ila cha umuhimu pale unapoandika text yaani kumtumia text usiache kuandika jina lake mwisho..pale yeye anaposoma text yako alafu mwisho akakuta umeandika jina lake basi anajua kweli unachomwambia kina maana.

4.PENDA KUMSIFIA KILA MUDA
Hii inasaidia yeye kujua kuwa unajua uzuri wake yaani dhamani yake..unaweza kumwambia MREMBO UMEAMKA SALAMA ?.. basi yeye atajisikia vizuri hata kama hato onesha hisis flani kama amependa kuitwa hivyo..

5.USIKATE TAMAA
 Mwanaume ameumbwa kwa uvumilivu ..pia kizuri huwezi kukipata kwa urahisi tuu..we ukiona hakujibu text zako we endelea kumtumia japo za salamu atajibu tuu..

  NB: Sio kila mwanamke atapendezewa na wewe kwa sababu ya tabia zako labda,au ulimtolea maneno ya kejeli,na kumtusi pia..ni vizuri ukajipanga

......................................................................................................................................................................

Popular posts from this blog

SIFA ZA MWANAMKE MNENE KITANDANI NA RAHA YAKE.

mazoezi kwa ajili ya kufanya uke uwe tight(mnato)

Faida ya kula BAMIA -na kazi yake mwilini

KAZI YA SHANGA KIUNONI NA MAANA YA RANGI ZAKE........