NJIA ZA KUIMARISHA MAHUSIANO...


         Mambo mengi hutokea katika mahusiano na pia miaka ya hivi karibuni mapenzi mengi huvunjia kutokana na sababu nyingi saana.maisha yamebadilika na pia utandawazi umekuwa saana

Iliukuze mahusiano yako na mpenzi wako lazima upitie hizi njia

1.MTIE MOYO KILA WAKATI MPENZI WAKO
inamaana kuwa nae karibu iliujuwe ni nini kinamsumbua jaribu kufariji hata kama haunauwezo wa wewe kumsaidia matatizo yake.mjali kila muda hii yote inatakiwa muwe mnavifanya sio kwa mwanaume tu au mwanamke tu.

2.MUONESHE POPOTE
maana yake pale unapokuwa labda mnatoka au kakutembele kazini munyeshe ufuraha kuwa yeye ni muhimu kwako..mtambulishe kwa wenzako aliowakota hapo..jiweke mazingira ya kimapenzi pale unapokuwa na mpenzio..ukaribu huu unasaidia kila moja kujua kuwa wanamaanisha kwenye mapenzi..pale unapotembea nae sio lazima mshikane mikono tu..hata kuwa karibu sana yaani kusogeleana..


3.FURAHI NAE (CHEKA)
Hii inamaana kuwa kama mtakuwa na furaha kwa pamoja hata kwenye huzuni mtakuwa pamoja..jitahidi kumchekesha chekesha mpenzi wako ili penzi lenu liwe na furaha

4.MGUSANE  POPOTE 
 hii inamaana kuwa pale mnapokuwa karibu yaani mmepumzika basi mnaweza mkawa mnaongea huku mnagusana hata kwa miguu au kwa mikono hata kulaliana..kwani pale napokuwa hivyo mwilini mwenu mnaendele kujenga nguvu ya kupendana..

5.KUKUMBUKANA KAMA MMOJA YUKO MBALI
                       hii inamaana labda mweza wako kasafiri..muoneshe jinsigani unamkumbuka kila muda..muoneshe hisia zako,na yeye atatambua kweli unamjali..labda wewe uko offisini basi mtumie text ..ya kuwa umemkumbuka hata kama asubuhi ulikuwa nae

  NB:Kuna mahusiano mengine ni yakulazimishwa unakuta hata ufanye nini bado ugomvi uko palepale,na mengine ni yakimaslahi zaidi kwahyo hata dumu hata kidogo..chukua hatua kama unafanya hivyo na penzi lenu bado liko kwenye migogoro...
............................................................SNIPER.............................................................................




Popular posts from this blog

SIFA ZA MWANAMKE MNENE KITANDANI NA RAHA YAKE.

mazoezi kwa ajili ya kufanya uke uwe tight(mnato)

Faida ya kula BAMIA -na kazi yake mwilini

KAZI YA SHANGA KIUNONI NA MAANA YA RANGI ZAKE........