PICHA: Farid Musa akiwa Club Deportive Tenerife ya Hispania katika majaribio yake


Winga mshambuliaji wa Azam FC na timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars Farid Musa leo Mei 2 2016 ametimiza siku ya sita katika majaribio yake ya soka la kulipwa Ulaya Club Deportive Tenerife Hispania, Tenerife wanaripotiwa kumkubali Farid kiasi hata cha kufanyiwa vipimo vya afya na mitandao mingi ya Tanzania inaripoti kuwa Farid tayari kakubaliwa na klabu hiyo na wanataka kumsajili kwa mkopo wa miaka   miwili.

Popular posts from this blog

SIFA ZA MWANAMKE MNENE KITANDANI NA RAHA YAKE.

mazoezi kwa ajili ya kufanya uke uwe tight(mnato)

Faida ya kula BAMIA -na kazi yake mwilini

KAZI YA SHANGA KIUNONI NA MAANA YA RANGI ZAKE........