Kala Jeremiah=Ukipenda pesa zake usitarajie ndoa






                                  Kala Jeremiah amesema kwa mwanamke ambaye anampenda mwanaume au mpenzi wake kwa kigezo cha pesa ategemee kutumika tu kingono ila hawezi kuolewa na huyo mtu kwani hata yeye atakuwa anatambua wazi kuwa anapendwa kwa sababu ya pesa zake.
"Kama unampenda mpenzi wako kwa ajili ya pesa zake basi usitarajie ndoa hapo. hapo ni ngono mwanzo mwisho. Maana na yeye anajua humpendi unapenda pesa. Hivyo na yeye hakupendi anapenda gemu tu" aliandika Kala Jeremiah

@source EATV

Popular posts from this blog

SIFA ZA MWANAMKE MNENE KITANDANI NA RAHA YAKE.

mazoezi kwa ajili ya kufanya uke uwe tight(mnato)

Faida ya kula BAMIA -na kazi yake mwilini

KAZI YA SHANGA KIUNONI NA MAANA YA RANGI ZAKE........