

msanii mwana FA aamua kuukimbia ubachela na kuvuta jiko ndani kiuhalali kabisaa..japo kwenye nyimbo yake alisema kwamba hatarajii kuoa labda azeeke zeeke kwanza. MwanaFA Jumamosi ya Juni 5 alifunga ndoa na mchumba wake Helga ambaye pia na mama wa mtoto wake.