Tiwa Savage kujiunga na ROC NATION ya Jay z

                       Good News ,Tangu tumeuanza mwezi wa tano Mwaka huu kumekuwa na tetesi msanii kutoka afrika kusajiliwa chini ya lebo ya Msanii Maarufu dunia Jay Z

Na taarifa zikufikie kwamba Tiwa savage msanii kutoka Nigeria amekuwa msanii wa kwanza kutoka Afrika kusajiliwa chini ya lebo kubwa duniani ya ROC NATION ambayo inamilikiwa na Rapa Jay z ambayo inasimamia kazi za Rihanna a .k.a Bad girl.

Ifahamike kwamba kuingia Roc nation si kwamba Tiwa savage ameondoka kwenye lebo ya Marvin kikubwa Roc nation itahusika katika usambazaji wa kazi za tiwa savage.

Popular posts from this blog

SIFA ZA MWANAMKE MNENE KITANDANI NA RAHA YAKE.

mazoezi kwa ajili ya kufanya uke uwe tight(mnato)

Faida ya kula BAMIA -na kazi yake mwilini

KAZI YA SHANGA KIUNONI NA MAANA YA RANGI ZAKE........