Mh. Samwel Sitta AFARIKI DUNIA, na Hiki ndicho Kilichomuua



                                                 Mh. SITTA akiwa bungeni


Aliyekuwa Spika wa Bunge katika Bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania, Mh. Samwel Sitta amefarki Dunia asubuh ya kuamkia leo huko Ujeruman alipokuwa amekwenda kwa ajili ya matibabu. Akiongea na kipindi cha Clouds 360, msemaji wa familia ambaye pia ni Meya wa Kinondoni, Benjamin Sitta, amethibitisha hilo na kueleza kuwa baba yake alikuwa akisumbuliwa na Ugonjwa wa Kansa ya tezi dume ambayo ilikuwa imefikia pabaya na kuathiri hadi viungo vingine vya mwili. Taarifa zaidi za ratiba ya mazishi tutazitoa hapa hapa

Popular posts from this blog

SIFA ZA MWANAMKE MNENE KITANDANI NA RAHA YAKE.

mazoezi kwa ajili ya kufanya uke uwe tight(mnato)

Faida ya kula BAMIA -na kazi yake mwilini

KAZI YA SHANGA KIUNONI NA MAANA YA RANGI ZAKE........