Pambano la kufunga mwaka Bondia CHEKA kuzipiga na Dullah Mbabe Jumapili ya Desemba 25

Bondia Dullah Mbabe ameapa kumstaafisha ngumi mpinzani wake Francis Cheka katika pambano lisilokuwa na ubingwa litakalopigwa siku ya Jumapili ya Desemba 25 mwaka huu jijini Dar es Salaam
 
      
                                               Bondia Francis Cheka

Dullah Mbabe amesema, mazoezi anayoyafanya ya kumjenga pamoja na rekodi yake anaamini atampiga Cheka kwani anaamini hakuna bondia anayeweza kumfikia kwa sasa kwa uwezo na kiwango alichonacho na lengo lake katika pambano hilo ni kumstaafisha Cheka kama alivyofanya kwa Bondia Mada Maugo.
Hii itakuwa ni mara ya kwanza kwa mabondia hawa kukutana, wakiwa wote wametoka kupoteza michezo yao mwezi huu.
Kutokana na historia ya Cheka katika tasnia ya masumbwi, endapo atashindwa katika pambano hili, atatakiwa kutangaza hadharani kuwa anaachana na mchezo huu.

Popular posts from this blog

SIFA ZA MWANAMKE MNENE KITANDANI NA RAHA YAKE.

mazoezi kwa ajili ya kufanya uke uwe tight(mnato)

Faida ya kula BAMIA -na kazi yake mwilini

KAZI YA SHANGA KIUNONI NA MAANA YA RANGI ZAKE........