Ridhiwani Kikwete aikubali ngoma mpya ya Belle 9

 Mbunge Jimbo la Chalinze Ridhiwani Kikwete akizungumza machache na kumpongeza Belle 9 katika uzinduzi wa ngoma mpya ya msanii huyo

 Ridhiwani ambaye nimbunge wa jimbo la chalinze ni moja ya wapenzi wa music wa bongo flava,alisema kuwa anapongeza sana Belle 9 kwa hatua hiyo video ni kali sana na yeye kama mbunge huwa anapenda kushirikiana na vijana wenzake ili kuweza kukuza sanaa yetu.
“Niliona kwenye page yake ya instagram akiwa Afrika ya Kusini kwa ajili ya ku'shoot' video yake na kuwasiliana naye kuwa akirudi tuonane na kweli aliporudi tulikaa tukaongea akaniomba sehemu pale nyumbani afanyie huo uzinduzi nikampatia ndiyo kama unavyoona “
Pia aliongeza kwa kusema kwamba kitu kikubwa ambacho kimemvutia sana katika video hiyo ni jinsi alivyotembea na "beat" ya wimbo huo pamoja na ile sehemu jinsi anavyojitoa kwa mpenzi wake.

Popular posts from this blog

SIFA ZA MWANAMKE MNENE KITANDANI NA RAHA YAKE.

mazoezi kwa ajili ya kufanya uke uwe tight(mnato)

Faida ya kula BAMIA -na kazi yake mwilini

KAZI YA SHANGA KIUNONI NA MAANA YA RANGI ZAKE........